Picha za slide

Wednesday, April 18, 2012

Ufunguzi wa Juma la Uamsho la Shule Ya Sabato

Tar 7/4/2012 lilifunguliwa juma la uamsho na Mch. C Ungani-Mkurugenzi wa mawasiliano jimbo la mashariki la wasabato, ambalo lilihitimishwa na SABATO YA WAGENI tar 14/4/2012. kwaya zilizoalikwa ni pamoja na Ilala, Magomeni na Kinondoni.
Wanaoimba ni kwaya ya kinondoni, waliokaa na majoho ya blue na kwaya ya magomeni

kwaya ya ilala ilikuwepo
ibada ikiendelea......

Ufunguzi wa ibada maalumu za kufungua sabato-Magomeni sda

Siku ya tar 6/7/2012 kwaya yetu ilialikwa magomeni sda katika ufunguzi wa vipindi maalumu vilivyoboreshwa kwa ajili ya kufungua sabato vinavyoendeshwa na mchungaji wa kanisa la magomeni Jonas Singo. hapo juu ni wakati wa ombi la ufunguzi liloletwa na Pr Jonas Singo
Kwaya yetu ya Ubungo-Hill wakiwa kanisani magomeni
Kwaya ya magomeni
Sehemu ya waumini waliohudhuria ibada-Magomeni sda

Friday, April 13, 2012

Pr Ungani-Mkurugenzi wa Mawasiliano Jimbo la mashariki tanzania anaendelea na juma la uamsho hapa kanisani.

Kisa cha mwana mpotevu ndicho msingi wa mfululizo wa masomo.

Kijana mdogo, kaka mkubwa, baba na kaka mkubwa-Yesu kristo ndio wahusika wakuu

Jumamosi ya kesho tunahitimisha na SABATO YA WAGENI.

Imeandaliwa na Shule ya Sabato.


karibuni tena

Kwaya ya kanisa-2011

Tuesday, April 10, 2012

kipindi cha shule ya sabato

Kutoka kushoto ni E.Mabuba, Malecha. E, Kemy(mke wa malecha), Wema, Nasieku (mke wa mabuba) wakiendesha moja ya shule ya sabato kanisani ubungo-hill