Picha za slide

Friday, June 1, 2012

UZINDUZI WA MASS CHOIR MBEZI

Ubungo-Hill kwaya wakijiandaa kuimba nyimbo 2 za mwisho
Kwaya ya Ushindi-Mikocheni
kwaya ya mbezi
Jukwaa kuu...Nyuma ni kwaya ya Ubungo-hill
Kwaya ya MASHAIDI-MORORGORO MJINI SDA
Mwalimu wa kwaya Mashahidi toka Morogoro-Baraka akiimba solo wakati kwaya yake ilipokuwa inaimba.
Mwenyekiti na mwalimu wa kwaya ya Ubungo-hill, Ndg Kambira lugora(mwenye shati jeupe) akitoka kuhojiwa na mwandishi wa Morning star