Picha za slide

Friday, July 27, 2012

A team of students from Adventist-operated Montemorelos University participated in Guanajuato's 15th International Film Festival (GIFF) competition, in the historic city of Guanajuato, Mexico. Last year, the film festival counted more than 2,000 film entries from 108 countries, which drew over 90,000 people and featured 400 films during the 10-day event. [photo: courtesy Hellen Hernandez]
Timu ya wanafunzi kutoka chuo kinachoendeshwa na wasabato (Montemorels Uni
versity) walishiriki katika tamasha la filamu la kimataifa Guanajuanto, mexiko. mwaka jana, tamasha lilikuwa na filamu zaidi ya 2000 zilizoingizwa, kutoka nchi 108, na kukusanya watu 90,000 na ni filamu 400 zilionyeshwa kwa siku 10. [picha : hisani ya Hellen Herndanez}
HABARI KWA HISANI YA TOVUTI YA KANISA ULIMWENGUNI

Sunday, July 8, 2012

MEZA YA BWANA-Robo ya 2

Sabato ya tarehe 7/7/2012 kama ilivyo kawaida ya kanisa letu tulifanya maadhimisho akumbukumbu ya kifo cha Bwana wetu Yesu kristo kwa njia ya MEZA YA BWANA.


Friday, July 6, 2012

MEZA YA BWANA



JUMAMOSI YA TAREHE 7/7/2012 NI SIKU YA KIPEKEE HAPA KANISANI KWETU UBUNGO HILL




NI SIKU YA KUADHIMISHA SHEREHE YA CHAKULA CHA BWANA, KWA KUPATA KIKOMBE NA MKATE.




KARIBUNI SANA WALE WOTE WALIOMPOKEA YESU KUKUMBUKA KIFO CHAKE PALE KARVARI.


MUNGU AWE NANYI