Picha za slide

Friday, November 23, 2012

IGIZO, PINDI MUUMBAJI ATAVO GAWA TAJI SIKU YA KURUDI KWAKE

Viongozi wa Central Bolivian Mission

SIKU YA MAOMBI NA KUFUNGA ULIMWENGUNI-DECEMBER 1

Raisi wa wasabato ulimwenguni ameita tar 1 disemba kama SIKU YA MAOMBI YA KIMATAIFA kuwakumbuka wenzetu wawili waliofungwa huko Togo. Habari zaidi pitia Adventist News Network. Kushoto ni mkurugenzi wa mawasiliano GC Williams Costa Jr.

Monday, November 12, 2012


KIKAPU

Katie Hahn, #13, akijaribu kupita wakati Andrews University dhidi ya Oakwood University katika mechi za maonyesho za wanawake huko Chicago, November 3.Vyuo vyote vinamilikiwa na kundeshwa na kanisa la waadventista ulimwenguni. [picha: Joshua Martin wa Adventist News Network].

Tuesday, November 6, 2012

UZINDUZI WA SIKU SABA ZA BARAKA TELE-TAR 3/10/2012

Kwaya ya Kimanga SDA
Mzee wa Kanisa wa kwanza Michael Mchome akifungua  siku saba za baraka tele
Kwaya ya Yombo Dovya SDA
Kwaya ya Wanawake Ubungo-Hill SDA

Thursday, November 1, 2012

WIKI YA MAOMBI-UBUNGO HILL

Kanisa lakataa kuapisha wanawake

Adventist world church General Vice President Lowell Cooper reads the statement before the vote.

Kanisa la waadventista wasabato ulimwenguni katika kikao chake cha mwaka imepinga kwa kura, union zilizopitisha uwekwaji wakfu kwa wanawake, union hizo za ujerumani kaskazini, Columbia na Pasifiki zilipitisha mabadiliko hayo hivi karibuni. Kufuatia mjadala wa masaa 3, kanisa limekuja na waraka ukizitaka union hizo kuacha mpango wao huo na kubaki katika umoja katika kristo, kama alivyokaririwa Mch Ted wilson akisema "focusing on the mission of the Church, uniting in Christ, even though we will face some differences and disagreements.". Kura 264 dhidi ya 25 zilikataa kuapisha wanawake. Habari kwa msaada wa mtandao wa habari wakiadventista (adventist news network)