Picha za slide

Sunday, March 17, 2013

ASANTENI KWA KUNIJALI

Washiriki wa matendo ya huruma wakiomba na mgonjwa  na kumpatia vitu mbalimbali  pamoja na sabuni Dawa ya mswaki,mafuta ya kupaka na vitabu .Mgonjwa Adriani alifarijika sana alipotembelewa na washiriki wa Makanisa ya Wasabato.

SIKU YA MATENDO YA HURUMA TEMEKE HOSPITAL


Washiriki wa Makanisa ya Waadventista wa Sabato  Dar es Salaam  wakiwa ndani ya Hospitali ya Temeke wakisali tayari kupeleka vifaa mbalimbali kwa wagonjwa wodini.

SUBIRA NA UVUMILIVU TEMEKE

Wana wa kike wa Kanisa  La Ubungo Hill  wakiwa ndani ya viwanja vya kanisa la Waadventista Wasabato Temeke wakisubiri  kwa tabasamu maelezo namna ya kwenda kwenye Matendo ya Huruma Hospitali ya Temeke.

GLOBAL YOUTH DAY 16-March2013

Washiriki wa Kanisa La Waadventista Wasabato Ubungo Hill wakianza safari kuelekea kwenye kituo cha kuchangia Damu. Huu ni mpango maalumu wa siku ya matendo ya huruma the Global youth day 

Saturday, March 2, 2013

MORNINGSTAR TV BIG DAY( Uzinduzi)

   Eastern Tanzania ConferencePresident (ETC) Pr Mark Walwa Malekana akizindua uchangishaji wa zaidi ya 500 million zinazohitajika kwa ajili ya Television ya Mstv ndani ya Kanisa la Waadventista Wa Sabato Ubungo Hill.