Picha za slide

Monday, February 25, 2013

SABATO YA TAREHE 23-2-2013 UBUNGO HILL

Mzee wa Kanisa John Mwakalonge akihubiri siku ya sabato.Somo lililojengwa kwenye  kitabu cha
 Ezra 1-6.
Ezra- Kuhani , Mwanazuoni wa Sheria za Dini (canoon Law), Mwandish Mashuhuri, ( Aliyepangilia kitabu cha zaburi, Akaandika kitabu cha Nyakati,Nehemia na Ezra., Mwana uamsho wa kwanza….Aliheshimiwa na Umma wote wa Babylon wa Israel pamoja na Wamedi na wajemi na Mfalme wao Koreshi…. Anaanza Kitabu chake cha Ezra kumuelezea mfalme Koreshi



Saturday, February 23, 2013

SIKU MAALUMU YA VIJANA

Siku maalumu ya vijana wa kanisa la Ubungo hill ikiendeshwa na Pr Sumwa , kulia Master guides Tumaini Lweso,Mapigano K. Mapigano na kushoto Mzee wa kanisa Viva Ogada.

Wednesday, February 20, 2013

HITIMISHO LA WIKI YA UWAKILI

Pastor M.Twakaniki mtaa wa Ubungo akimkabidhi zawadi Pr, Kinyashi mtaa wa Newala siku ya hitimisho la juma la uwakili .