Timu ya wanafunzi kutoka
chuo kinachoendeshwa na wasabato (Montemorels University) walishiriki katika tamasha la filamu la kimataifa Guanajuanto, mexiko. mwaka jana, tamasha lilikuwa na filamu zaidi ya 2000 zilizoingizwa, kutoka nchi 108, na kukusanya watu 90,000 na ni filamu 400 zilionyeshwa kwa siku 10. [picha : hisani ya Hellen Herndanez}
HABARI KWA HISANI YA TOVUTI YA KANISA ULIMWENGUNI










