Maana ya Ujasiriamali:
Uwezo na nia ya kukuza biashara, kuisimamia na kukabili hatari zote ili kutengeneza faida. Mfano mzuri wa uajasiriamali ni kuanzisha biashara mpya….Business
Dictionary.com
Mtu ambaye badala ya kuajiriwa, anaendesha biashara yake na kukabili hatari zote na kupata matunda ya biashara yake. Mjasiriamali ni msimamizi na mbunifu wa wa biashara au wazo la kibiashara…Investopedia…..2004
Mjasiriamali anaefanikiwa:
Mawasiliano na wajsiriamali wengine (Networking)
Daima
jiamini (Self confidence)
Fanya
matangazo ya biashara yako
(advertisement)
Fanya
Tafiti kutafuta biashara rahisi pia inayokubalika (Research)
Kubali kujitoa pia kupoteza (Risk taking)
Fanya
tathmini ya biashara yako
(Business Evaluation)
Heshimu
biashara yako (Self Discipline)
Fanya
Biashara kwa malengo (Business objective,
goals)
Mfanye Mungu kuwa wa kwanza wakati wote (God is number one)