Moja
ya mambo ya mwisho aliyoyakazia sana Kristo Yesu kabla ya kurudi mbinguni hata
kuyatoa kama mojawapo ya amri zake ni Upendo. Yaani kumpenda Mungu kwa
dhati na Kupendana sisi kwa sisi.
Maagizo
ya Bwana wetu YESU KRISTO kwa Kanisa ni kumpenda BWANA MUNGU wetu kwa dhati na
utii. Alikazia fungu kutoka kitabu cha Marko 12:28-31
28Na mmojawapo wa waandishi akafika, akawasikia
wakisemezana naye , akatambua ya kuwa
amewajibu vema , akamwuliza, katika amri zote ni ipi iliyo yakwanza?
29 Yesu akamjibu, Ya kwanza ndiyo hii, Sikia Israeli
,BWANA MUNGU wetu ni BWANA mmoja;
30 nawe mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote; na
kwa roho yako yote na kwa akili zako zote, na kwa nguvu zako zote
.31 Na ya pili ndiyo hii, Mpende jirani kama nafsi yako.
Hakuna amri nyingine iliyo kuu kuliko hizi”