Mchungaji wa Mtaa wa Ubungo Pr Michael Twakaniki akihubiri siku ya sabato ya pamoja ya vijana wa mtaa wa Ubungo
Alizungumzia zaidi ni namna gani imani yetu tumeijenga
mathayo 7 :24-27
Basi kila asikiaye haya maneno yangu na kuyafanya atafananishwa na mtu mwenye akili,aliyejenga nyumba yake juu ya mwamba,mvua ikanyesha,mafuriko yakaja ,pepo zikavuma zikaipiga nyumba ile isianguke kwa maana misingi yake imewekwa juu ya mwamba.
Alisisitiza tujenge imazi zetu juu ya mwamba na kamwe tusijenge juu ya mchanga fungu la 26
Sunday, November 10, 2013
Mahafali
Kiongozi wa sauti ya unabii wa Kanisa la Waadventista Wa Sabato Ubungo hill Mama Eudora Minja akimkabidhi cheti mmoja wa wahitimu wa masomo ya gundua shule ya Msingi Ubungo Kisiwani 2013
Mahafali
Wanafunzi wa masomo ya Gundua na Sauti ya unabii kutoka shule ya Msingi Ubungo kisiwani wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kuhitimu hatua ya 1 & 2 mwezi wa kumi 2013
Subscribe to:
Posts (Atom)