Siku ya sherehe za Ufunguzi wa mkutano mkuu wa Extravaganza ,kiongozi wa Kanisa La Wasabato Ulimwenguni Pr ted N. C Wilson akiwasili kwenye uwanja Mkuu wa Taifa siku ya ijumaa
6 feb 2015.Kutoka kushoto ni Pastor G.K Lekundayo,Elizabeth Ruguli,Pr Blasious Ruguri na
Pr Maggulilo Mwakalonge.







No comments:
Post a Comment