Picha za slide

Saturday, January 26, 2013

COMMUNICATION WORKSHOPS

Viongozi  walioshiriki semina ya Mawasiliano , Rombo Green View Hotel Jan 6-12,2013
Wakiwa katika picha ya pamoja

Friday, January 11, 2013

SIKU YA 2- SIKU 10 ZA BARAKA 2013


AHADI ZA MUNGU NI ZA KWELI! TENA DHIHIRISHO LA UAMINIFU NA PENDO LAKE...Pr Twakaniki

Thursday, January 10, 2013

SIKU YA 1-BARAKA ZA 2013

FUNGA SIKU KUMI, KUWA MARA KUMI ZAIDI !!

DANIEL ndiye  KIELELEZO!!!

...alikuwa VEGETARIAN kwa siku 10 pamoja na wenzake na akawa MARA KUMI zaidi KIAKILI NA KIMWILI ya wale waliokula CHAKULA na MVINYO WA MFALME....by Pr Twakaniki