Picha za slide

Thursday, January 10, 2013

SIKU YA 1-BARAKA ZA 2013

FUNGA SIKU KUMI, KUWA MARA KUMI ZAIDI !!

DANIEL ndiye  KIELELEZO!!!

...alikuwa VEGETARIAN kwa siku 10 pamoja na wenzake na akawa MARA KUMI zaidi KIAKILI NA KIMWILI ya wale waliokula CHAKULA na MVINYO WA MFALME....by Pr Twakaniki


No comments:

Post a Comment