Picha za slide

Thursday, November 1, 2012

Kanisa lakataa kuapisha wanawake

Adventist world church General Vice President Lowell Cooper reads the statement before the vote.

Kanisa la waadventista wasabato ulimwenguni katika kikao chake cha mwaka imepinga kwa kura, union zilizopitisha uwekwaji wakfu kwa wanawake, union hizo za ujerumani kaskazini, Columbia na Pasifiki zilipitisha mabadiliko hayo hivi karibuni. Kufuatia mjadala wa masaa 3, kanisa limekuja na waraka ukizitaka union hizo kuacha mpango wao huo na kubaki katika umoja katika kristo, kama alivyokaririwa Mch Ted wilson akisema "focusing on the mission of the Church, uniting in Christ, even though we will face some differences and disagreements.". Kura 264 dhidi ya 25 zilikataa kuapisha wanawake. Habari kwa msaada wa mtandao wa habari wakiadventista (adventist news network)

No comments:

Post a Comment