Picha za slide

Sunday, June 16, 2013

Uchangiaji Kusini (Mnawa)

Mzee Michael Mchome akihamasisha uchangiaji kwa ajili ya uinjilisti Mtwala eneo la Mnawa  .
Kanisa la Ubungo Hill linatarajia kupeleka timu ya watenda kazi ili kupeleka injili Mnawa kwa kushirikiana na Mwinjilisti Limboka ambaye yuko Kusini akilea kundi la Mnawa.

No comments:

Post a Comment