Picha za slide

Wednesday, September 19, 2012

UFUNGUZI WA MKUTANO KANISA LA WASABATO USHINDI (WATERFRONT HALL)









WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uhusiano na Uratibu) Stephen Wassira ndie aliyekua mgeni rasmi siku hiyo ya ufunguzi akiwa na mwenyeji wake Askofu wa kanisa wa Wasabato Tanzania Mchungaji Dk Godwin Lekundayo.
Mh Steven Wassira alikagua gwaride ambalo lilikua likiendeshwa na wanafunzi wa Herritage.
Mkutano huo bado unaendelea (Waterfront hall)

No comments:

Post a Comment