Picha za slide

Friday, December 20, 2013

Safu Mpya Union Mpya

Safu ya Viongozi wa union mpya ya kusini  mwa Tanzania  katika picha ya pamoja katikati ni

Pr. Magulilo Mwakalonge - STUM President, kushoto ni

Mr. Jack Manongi - STUM Treasurer na kulia ni Pr. James Machage - STUM Executive Secretary. Uchaguzi wa viongozi  uliofanyika Nairobi  november 5/2013.No comments:

Post a Comment